mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Wan Bissaka mchezaji mzuri sanaMANCHESTER City imeshaweka wazi wachezaji inaowataka kwenye dirisha hili, Rodri, Harry Maguire na Aaron Wan-Bissaka huku ikifichua kutakuwa na panga litapita Etihad kusafisha wachezaji wasiohitahija kusafisha njia.