Nafurahi kusikia hivyo, pia pole na kazi mpendwa...
Salama kabisa mkuu,habari ya jumapili?Mkuu habari yako
Mkuu habari yako
Namshukuru Mungu, nina afya njema kabisa.Nzuri tu Ankoo.. Sijakuona siku nyingi hapa! U mzima?
Namshukuru Mungu ibada imekwenda vizuri Jumapili imekuwa nzuri Kwangu. Wewe ulikuwa ni mmoja wapo kwenye maombi yangu leo, Mungu aendelee kukupigania kwa kila baya dhidi yako.Ndugu yangu habari za uzima na habari za jumapili
Kinywaji pendwa
Wacha nirudi niangalie tena hiyo picha unasemaNafurahi kusikia hivyo, pia pole na kazi mpendwa...
Hivyo vidole vya miguu vya mtengeneza gongo vimevalishwa pete?
Poa mkuu njoo na majibuWacha nirudi niangalie tena hiyo picha unasema
Nilipita majuzi kati hapo naona ufisadi mtupu anyway itasaidia kidogo wakati mvua si unajua kampeni zimeanza serikali za mitaaSalama kabisa mkuu,habari ya jumapili?
Nilikutumia picha ya "fulai ova" ya Dodoma... Hongereni mkuuView attachment 1122516