Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mwalim : juma una miaka mingapi?
juma : miaka 7
mwalimu : baba yako ana miaka mingapi?
juma :miaka 7
mwalim :inawezekanaje ukawa na umri sawa na baba yako?
juma :baba yangu alianza kuitwa baba baada ya kunizaa mimi
mwalim: ....................................... jaza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…