Hamna kwishney haoWacha waongoze dunia miaka mingi sana hiyo
Powa mkuu angalia isiwe tu Umeenda kibiti.Wakuu. Naingia chimbo sehemu ambayo siruhusiwi kuwa na simu wala kompyuta. Tuonane baada ya masaa sita hivi. I love you guys na muwe na siku njema. Cole please nisaidie kumwangalia shemejiyo dhidi ya mijibaba midowezi ya hapa. Salute!!!
HahahahaMharibifu mkubwa wewe,angekubali si ingekula kwangu? Vikao vya upatanisho kwa kakaake utadhani vya harusi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku Mbili sijaingia humu kama mwaka naonaHuu uzi kiboko..
KibitiPowa mkuu angalia isiwe tu Umeenda kibiti.
Yes indeed weka likesSiku Mbili sijaingia humu kama mwaka naona
Mwanzilishi wa Taifa hili1. George Washington (1789-1797)