Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo uzuri wa kujiongeza na kuwekeza kwingine. Hata Jayz kama si kuwekeza maeneo mbali mbali ubilionea angeusikia redioni ila inafurahisha sana kuona hawa black celebrities wanajiongeza kwenye maeneo mbali mbali badala ya kutegemea source moja tu kwa income. Wengine wananunua maeneo waliyokulia ambayo yamechoka ile mbaya na kuyaboresha na kuwapa ajira watu walio bado kwenye maeneo hayo.

dah ajatoa nyimbo kitambo wala albamu na hajafanya shoo kama akina Beyonce lakin anakimbiza kwenye mkwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…