Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mambo shemeji
Hahah! Aya tuendelee kufurahi mpendwaMashairi yako ya leo [emoji41][emoji41]
Hahah! Poleni na hongereni pia, ndio siku hizi mapema tu kama haukuwepoHuku ni baridiii yakutupeleka USA kabisa hii[emoji38]
Poa shemMambo shemeji
Naishi kiboss na usanii haupoteiHuwezi Gain bila pain muulize Saigon
Yani acha tu...ngoja leo niwepoHahah! Poleni na hongereni pia, ndio siku hizi mapema tu kama haukuwepo
Naishi kiboss na usanii haupotei
Mkuu moyoni mbona unaonekana mtoto wa mama kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (joke)
Sawa itakua poa sana, atakaekua macho atamshtua mwenzake kwa Jf CallYani acha tu...ngoja leo niwepo
Poa shem