Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bila shaka[emoji1755]Sawa itakua poa sana, atakaekua macho atamshtua mwenzake kwa Jf Call
Kidume atulie muibie jina la mwishoSista Duu ukiibiwa moyo usilie Mfanya awe official
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema shem. Habari za huko ulipo?
Natamani siku moja nimvizie nione msambwanda wake akiutikisa kizembeNne ana malingo vilivyo pia ni fundi wa kudengua, kwa bahati mbaya mkagongana macho halafu afanye vitu vyake hivyo, kama ujasiri wako si wa mashaka unaweza kujitosa majini.