capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huku poa kabisa. Tangu asubuhi kuna manyunyu. J'pili moja maridadi ajabu. Kwako huko vipi?
😆 But waiiii?Mjurubeng....
View attachment 1122850
HahahahaKulingana na malkia wako labda...[emoji16][emoji16][emoji16]
Very very much!Coco loves some Bonnie
Potiiiiiiiiiiiii
YNWANiko vyema kabisa.....Tuko pamoja YNWA[emoji120]
Namhala. Tufafanulie kidogo kuhusu black holes. Najua huwa yanatokea wakati nyota zinapozeeka na kufa lakini kwa nini wanasema kuwa ndanimwe kanuni zote za Fizikia tuzijuazo hukoma - hakuna muda, hakuna space, hakuna kila kitu? Ni kwa sababu nguvu ya uvutano ni kubwa mno na inasigina kila kitu au ni nini? Mbali na kufakamia nyota na hata magalaxy mengine jirani, mablack holes yana faida yo yote katika mfumo mzima wa kimalimwengu?Kiranga is but a small fish in an even smaller pond.
Natamani siku moja nimvizie nione msambwanda wake akiutikisa kizembe