Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Namhala. Tufafanulie kidogo kuhusu black holes. Najua huwa yanatokea wakati nyota zinapozeeka na kufa lakini kwa nini wanasema kuwa ndanimwe kanuni zote za Fizikia tuzijuazo hukoma - hakuna muda, hakuna space, hakuna kila kitu? Ni kwa sababu nguvu ya uvutano ni kubwa mno na inasigina kila kitu au ni nini? Mbali na kufakamia nyota na hata magalaxy mengine jirani, mablack holes yana faida yo yote katika mfumo mzima wa kimalimwengu?
Najua umesoma sana maandiko ya Hawking. Msaada please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Black holes ndio Jehenamu huko, ukiwa sucked huko na ma gravitational force yaliyoko huko ndio basi tena! [emoji23][emoji23]... Just kidding poti, aje atume ilimu huyu Muungwana!