Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1560100491860.jpeg
 
banter kidogo:
kuna mechi ya wanawake inaendelea muda huu inawakutanisha watoto wa malikia watupu (england vs scotland) basi kuna janadume limelipiza kisasi cha fainali ya liverpool.

ebwane weee ameingia uwanjani uchi wa mnyama cha ajabu refa ndiye aliyemtoa na mpaka muda huu refereee hajarudi uwanjani sijui wanafanya ibada gani huko chumbani.
1123143
 
Namhala. Tufafanulie kidogo kuhusu black holes. Najua huwa yanatokea wakati nyota zinapozeeka na kufa lakini kwa nini wanasema kuwa ndanimwe kanuni zote za Fizikia tuzijuazo hukoma - hakuna muda, hakuna space, hakuna kila kitu? Ni kwa sababu nguvu ya uvutano ni kubwa mno na inasigina kila kitu au ni nini? Mbali na kufakamia nyota na hata magalaxy mengine jirani, mablack holes yana faida yo yote katika mfumo mzima wa kimalimwengu?

Najua umesoma sana maandiko ya Hawking. Msaada please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amun Ra
 
Back
Top Bottom