mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaBiashara pekee tamu ni hii. Cole Williams upo vizuriView attachment 1123328
Du hilo nalo nenoKumfananisha mbappe na messi ni matumizi mabaya ya bando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbape kanyanyua wedi kapu ujue
Hivi ajachukua hata copa americaAnakuwa wa kawaida sana na ndiyo sababu pamoja na kuichezea timu ya Taifa lake kwa miaka mingi lakini mafanikio ya timu hiyo ni sifuri.
Messi alipiga final na German nafikiri WC ilikuwa BrazilWorld Ronald hujawahi kufika hata nusu Fainali si Fainali peke yake
Ronaldo anajitahidi lakini hawezi kumfikia mwenye Mpira wake
Aisee kuna watu na viatu punyeto darasaniswadakta, ubongo wa daemusin haufanani kabisa na ubongo wa kiranga kimatumizi.
lakini huyu aliyepiga punyeto darasani amenizidi kwa matumizi mabovu ya ubongo.
ubongo wake unazidiwa hata na ubongo wa kuku jike.
Hahahahakama anataka umaarufu akakojoe kwenye ukuta wa ikulu
Umeshangaa ,inawezekanainawezekana, nimeshangaa sana alipoandika humu ndani ya kwamba mwaka 1999 alikuwa anamiliki website.
Nimemkumbuka yule dada final ya UCLKutafuta tension na Fame
Stress freezoneYeah ndiyo maana Mimi naona bora nipoe humu nikiwa free kwingine kunaboa kweli
Morning potiView attachment 1123460
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nzuri mkuuGood Morning Beautiful People [emoji870]
Hawayoleee[emoji2][emoji2][emoji2]
Mchana wa ugali wa mhogo na samaki satoAsubuhi ya chai..