mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahahateh teh teh watanzania wamechoka kutungiwa majina ya ugonjwa na wazungu, eti pumbu erosion 🙂 🙂 🙂
Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake
Wakuu, Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba, Fangasi na mabaka (hasa kwenye sehemu za siri, yakiwemo mapaja). Shukrani Tafadhari tunaomba ushauri...www.jamiiforums.com