Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkatalunya muda wote huu ujanistua kwamba hii league ya wakulima Daah tabu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umekuta siyo hensamu? Mhenga wa Kinyakyusa mbona yuko vizuri tu jamani?Nimeenda mbio mbio kumuangalia hensamu, nusura nijikwae[emoji30][emoji30][emoji30]
CR7 the G.O.A.T
😂😂😂 MkatalunyaMkatalunya muda wote huu ujanistua kwamba hii league ya wakulima Daah tabu tupu
Visukuku?Ushahidi wa akiolojia na visukuku unaonyesha mabadiliko ya viumbe asilia na maendeleo ya utamaduni wa binadamu wa kale katika nyakati tofauti.
Rombo jamani kuna nini?Wanywa gongo wilayani Rombo wamebuni mbinu mpya ya kuficha pombe hizo kwenye koti (makoti) ili kukwepa kukamatwa na kulipa faini ya Sh50, 000.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkatalunya
Hii itakuwa Goat ya mbuzi hii
Greatest of all time mmoja Tu Messi
Mpambano ni CR7 vs MessiIla hii imempa nafasi messi ashinde ile tuzo sababu van angabeba hiki kikombe cha wakulima angekuwa pazuri
CR7 the G.O.A.T
He is priceless bila Wi-Fi ya pale katalunya hana ujanja wowote. Cheki akiwa na timu ya taifa lakeThere is nobody currently who is playing in that level. Messi mdebwedo tu anahofia kuhamia ligi nyingine.
Ukweli ulioongea hauna ata nguo ya ndani Mkatalunya, yule VVD ndio alikua mchawi mkubwa wa G.O.A.T, hapa sasa ni uhakikaIla hii imempa nafasi messi ashinde ile tuzo sababu van angabeba hiki kikombe cha wakulima angekuwa pazuri
Mpambano ni CR7 vs Messi