Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Toa Depay huyu
Kaingia na gundu huyo
😀😀😀Toa Depay huyu
Siku hizi fashen iphone aisee
#siitakimie
Bila attempt goli linapatikana vipi bro? Hapo mchawi kocha tu anatakiwa kuchange game planGoli lipo
Muigeni huyu,siku ya ndoa mnatinga jezi badala ya suti au kanzuMessi ndiyo mchezaji wetu bora wa mwaka huu [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Bila attempt goli linapatikana vipi bro? Hapo mchawi kocha tu anatakiwa kuchange game plan
Muigeni huyu,siku ya ndoa mnatinga jezi badala ya suti au kanzu
![]()
Afunga ndoa na jezi
Wazungu wako vzr sana.... Huyu hapa shabiki wa Arsenal game ameamua kuonyesha unazi wake kwa timu yake....sherehe ilienda vzr na kuifanya iwe na mvuto wa aina yake....cheki manenowww.jamiiforums.com