Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bishoo adi kwenye final
Bora Final wangekuja wakina Sterling Rahim
Bishoo adi kwenye final
WhyMmh!
Sana mzee, Mpira mwingi wanapiga golini kwao na kati kati ila hapo mbele ushubwada mtupuDaah huku mbele Attacking yao iko hovyo sana
Kaka hizi picha unazo weka na usiku huu.
Wewe ni "mpendwa wangu" mimi tu.
Thor Ragnaroknimeipenda weka nyengine tafadhali
Bado ngoma mbichi ujueNdiyo mshindi wa Tuzo yetu ile ya ballon d
Aisee 😀😀😀😀Wewe ni "mpendwa wangu" mimi tu.
Cole awe "mpendwa" sio "mpendwa wako".
Si umeelewa lakini Mpendwa wangu Hawachi?Aisee 😀😀😀😀
Sana mzee, Mpira mwingi wanapiga golini kwao na kati kati ila hapo mbele ushubwada mtupu
Kaka hizi picha unazo weka na usiku huu.
Aiseeekipaombele changu kikubwa ni elimu elimu elimu.
pumzika bwana lowassa huko ulipo.
watu weusi tutaendelea kudharauliwa mpaka kiama, hata yesu mwenyewe atachoka kutufundisha atakapokuja.
ajib anacheza ndondo cup.View attachment 1123277
Me pia nilikua naamini hivyo ila baada ya kuona game yao leo ya mshindi wa3 nikagundua ni wale Stereo alisema hawezi kuchangia nao chooBora Final wangekuja wakina Sterling Rahim