Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fuvu hilo litakuwa hadharani kuanzia Julai 17, mwaka huu.

Fuvu hilo liligunduliwa katika Bonde la Oldupai ni maarufu duniani kutokana na kufahamika kwake kama chimbuko la binadamu wa kale na historia na umaarufu wa bonde hili unafuatia uvumbuzi wa visukuku vya zamadamu uliofanywa na watafiti Dk Louis Leakey na mkewe Dk Mary Leakey.
 
Akizungumza katika uzinduzi wa miaka 60 ya makumbusho ya Olduvai leo Jumapili Juni 9,2019, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amesema Watanzania kwa mara ya kwanza wataliona fuvu hilo ambalo lilikuwa limehifadhiwa sehemu maalum na serikali.
 
Tunawakaribisha watanzania Ngorongoro, kutakuwa na usafiri kutoka Karatu, kila siku za kurudi kuanzia julai 17 na tunaimani kampuni za utalii na wadau wengine watajitokeza kusafirisha watalii"amesema
 
Back
Top Bottom