Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji23][emoji23]Dah! Coco!
[emoji23][emoji23]Dah! Coco!
Asante sana binti yangu...
Mungu Aendelee kukulinda...
Inshallah siku moja tutaonana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jaribu hapo kama utaweza halafu nipe mrejesho. Jaribu kutumia kompyuta/web na siyo app...
View attachment 1123196
View attachment 1123197
Kimekataa ata kwa PCJaribu hapo kama utaweza halafu nipe mrejesho. Jaribu kutumia kompyuta/web na siyo app...
View attachment 1123196
View attachment 1123197
Mkuu akikutumia tafadhali nitumie na mimi PM [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Daah kisa pesa za muarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kocha Jose Mourinho amewaambia rafiki zake kuwa anaweza kwenda kuifunza klabu ya Newcastle na yupo tayari kufanya mazungumzo na anayetarajiwa kuinunua klabu hiyo Sheikh Khaled bin Zayed Al Nehayan. (Sunday Mirror)
Kiungo wa England Jesse Lingard, 26, anakaribia kuongeza mkataba na kupata mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki katika klabu ya Manchester United. (Sun on Sunday)
Yeah wimbo mzuri sana huu VEIMO the best song ever from this fella. Alitulia mno na kushusha kitu cha uhakika chenye maneno matamu sana.
😃 😃 😃No, ni vile vipele vya kusisimkwa.
Mzuri kama wewe ulivyo Mzuri Babe😉Yeah wimbo mzuri sana huu VE
Man United bado wana mpango wa kumsajili beki wa Leicester na England Harry Maguire, 26, pia beki wa Tottenham na Ubelgiji Toby Alderweireld, 30. (Sunday Express)
Naam BroHahahaha capitalpool