Mkuu akikutumia tafadhali nitumie na mimi PM [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Naaam! Nilitaka nifanye ukaribisho jamani 😬 😬Dah! Coco!
Ahsante sana Mkuu, karibu sana.Kikifunguka nitakutumia mkuu
Umekaa sawa tayari? Ama unahitaji huduma ya dharula?Ndio 😀
🙌Naaam! Nilitaka nifanye ukaribisho jamani 😬 😬
Ulitakiwa uwepo hapaUmekaa sawa tayari? Ama unahitaji huduma ya dharula?
Nimepakua kwa simu imegoma kufungua ngoja nijaribu niconnect PC ....Umeweza kudownload.
Nina mavitabu mengi ya kila aina hata ya field yako hapo Mlimani. Sema tu kama unataka bro naweza kusaka kwenye maktaba yangu (1.5+TB)...
Nipo hapa ama wapi unamaanisha?Ulitakiwa uwepo hapa
Besides cookieNipo hapa ama wapi unamaanisha?