Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa za Afrika kwenye Ubora wake
Yeah! Right but not this nduli who is now trying so hard to get rid of CAG Assad without a single valid reason to do so. Hakuna aliyewahi kuliibia Taifa letu kama huyu. 2.4 trillions akagoma kuunda tume huru, nyumba za Serikali, $495 millions alizochota hazina bila idhini ya Bunge na kisha kumzuia CAG Assad asizifanyie auditing kama ambavyo katiba inamruhusu, kivuko uozo bilioni 8.




Huwa wanabadilika na kuwa wanyenyekevu karibu na KULA. 2020 hiyoooooo na uchumi uko chaliiiii!

 
Poleee Daddy, Utapona IJN..... Mie niko poa sana Mungu anasaidia, Salamu zooote zimefika Daddy[emoji4][emoji4][emoji4]
Nipo binti yangu mwema mpole usiye na makuu. Nina kihoma homa ila niko OK. Kwenu huko mnaendeleaje? Shiro hajambo? Nisalimie wote huko na Mungu Aendelee kuwabariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
.
FB_IMG_1557226838120.jpeg
 
Mwaka 1999 nilikuwa na website yangu Geocities, nilielezea vizuri sana kwa kiwango cha watu wasio wataalam, ila tatizo Geocities waliziondoa websites zile zote. Natamani ningekuwa na ile website.

Si kweli kwamba hakuna muda wala space per se, black hole ina mpaka katika kitu kinaitwa "event horizon", kuanzia hapo ndipo kitu chochote (with the exception of the negligible Hawking radiation ) hakiwezi kutoka.

Ndani ya event horizon kuna space na time, ila, unavyozidi kwenda kati kwenye black hole ndipo unapozidi kuelekea kwenye "singularity", ambapo ndipo unasema kwamba sheria zote za fizikia tunazozijua zinashindwa kutuelezea kitu kinachotokea.

Sheria za physics za sasa zinaelezewa na mfumo unaitwa The Standard Model of Particle Physics, vitu vikubwa sana na vyenye nguvu kubwa ya gravity kama nyota huelezewa vizuri sana na Albert Einstein's Relativity, vitu vidogo sana vyenye kutoonekana kwa macho na vinavyoenda kasi sana kama sub atomic particles vinaelezewa kwa sana na Quantum Physics

Kwa hiyo tuna physics ya kutuongoza kuchunguza vitu vikubwa vyenye gravity kubwa (Albert Einstein's General Relativity) na tuna Physics ya kutuongoza kuchunguza vitu vidogo sana ambavyo havina gravity kubwa (Quantum Physics). Lakini hatuna physics ya kutuongoza kuchunguza vitu vidogo sana na ambavyo hapo hapo vina nguvu kubwa ya gravity (black holes at the singularity).

Kwa hivyo, kwa sasa, tunahitaji Physics mpya iongezee kwenye Standard Model of Particle Physics ili tuweze kuchunguza vitu vidogo sana ambavyo vina uzito na uvutano mkubwa sana (black holes)

Ni kama vile una kamera ambayo, ukitaka kupiga picha watu wawili, mmoja kakaa karibu na mwingine kakaa mbali, uki focus kwa huyu wa karibu umuone vizuri, yule wa mbali focus inaondoka kwake humuoni vizuri, na uki focus kwa yule wa mbali ili aonekane vizuri zaidi, huyu wa karibu focus inaondoka kwake. Kama ushawahi kutaka kupiga picha vitu viwili vilivyo karibu zaidi na mbali zaidi kwa kutumia kamera utakuwa umeona hili. Ili uwapige wote waonekane vizuri zaidi utahitaji kuvunja kanuni tunazozijua za mwanga.

Inawezekana kabisa singularity ni natural barrier to information na hatuwezi kuielewa tukiwa ndani ya ulimwengu huu. Godel's incompleteness theorems have some bearing here.

First Incompleteness Theorem: "Any consistent formal system F within which a certain amount of elementary arithmetic can be carried out is incomplete; i.e., there are statements of the language of F which can neither be proved nor disproved in F." (Raatikainen 2015)

Second Incompleteness Theorem: "Assume F is a consistent formalized system which contains elementary arithmetic. Then {\displaystyle F\not \vdash {\text{Cons}}(F)}
{\displaystyle F\not \vdash {\text{Cons}}(F)}
." (Raatikainen 2015)

Lakini pia, inawezekana siku moja tukaweza kujiongeza na kugundua kitu kinaitwa Quantum Gravity Theory itakayoweza kuleta usuluhishi kati ya Einstein's General Relativity na Quantum Physics. Moja ya theories zilizokuwa zinatumainiwa kufanya kazi hii ni String Theory

Lakini baadhi ya majaribio ya kuijaribu String Theory yanaweza kuhitaji maabara iliyo kubwa kama mfumo mzima wa jua!
Aisee uko deep! Niliona a documentary once on this. Very interesting.
 
Back
Top Bottom