capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huyu ni KE au ME, Bro?Natumia app na kwenye app attachment nyingi zinakuwa na matatizo. Nitajaribu kukuwekea hapa. Kama una email ambayo haina jina lako halisi (kama hutaki kujulikana) nipe na nitakutumia huko.
Blessings [emoji1545][emoji1545]