capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😴😀😀 Umemaliza kukaribisha wageni?
😴😀😀 Umemaliza kukaribisha wageni?
Unanifurahisha sana Cookie,Unanicheka eeeh?
Manchester United wamepeleka dau la pauni milioni 84m kwa klabu ya Napoli wakitaka kumsajili beki raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 27. (Corriere dello Sport, via Mail)
waarabu wanakaribia kumalizana na mike ashley ambaye ndiye mmiliki wa newcastle united
Manchester United wamepeleka dau la pauni milioni 84m kwa klabu ya Napoli wakitaka kumsajili beki raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 27. (Corriere dello Sport, via Mail)
Winga wa Dalian Yifang ya Uchina Mbelgiji Yannick Carrasco, 25, anakaribia kusajiliwa na Arsenal. (Sport)
Tottenham wanatarajiwa kutoa dau la pauni milioni 40 ili kumsajili mlinzi wa will Bournemouth na Uholanzi Nathan Ake, 24. (Sun on Sunday)
Tottenham wanatarajiwa kutoa dau la pauni milioni 40 ili kumsajili mlinzi wa will Bournemouth na Uholanzi Nathan Ake, 24. (Sun on Sunday)
Liverpool wapo tayari kumuuza winga wao raia wa Wales Harry Wilson, 22, kwa dau la pauni milioni 21. Winga huyo aliitumikia kwa mkopo klabu ya Derby msimu uliopita. Klabu mbili za Ujerumani Hoffenheim na RB Leipzig zinaripotiwa kumnyemelea winga huyo. (Sunday Mirror)