myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndio u take risk kwenye HT kama hiyo, ni way! [emoji1][emoji1]
Misambwanda aisee ina mvuto wa ajabu. Utafikiri tumerogelezewa. Tena ukute ni ule mdebwedo hasa unameng'enyuka barabarani aisee hata kwenye mtaro unaweza tumbukia. Hovyo kabisa !!!View attachment 1124068
Men will always be men! [emoji23][emoji23]