Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisa. Tena chumbani kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Misambwanda aisee ina mvuto wa ajabu. Utafikiri tumerogelezewa. Tena ukute ni ule mdebwedo hasa unameng'enyuka barabarani aisee hata kwenye mtaro unaweza tumbukia. Hovyo kabisa !!!
Napenda ukicheka😇[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]