myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
05:22
👍Newcastle na Southampton zimewasilisha ombi kwa mshambuliaji wa Mainz na timu ya taifa ya Ufaransa ya wachezaji wasiozidi miaka 21 Jean-Philippe Mateta, aliye na miaka 21. (L'Equipe, kupitia Sport Witness)
Naona umesema "tusilaumiwe" ina maana na wewe poti unapenda wezere? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]