Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi huwa nawashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1124247
Hapana poti, mimi MGUMU! Ndio maana nikaweka hiyo slash, hiyo “tusilaumiwe” ilikuwa ni decoy tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyekiti unababaisha sana
Umeona eeeh!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyekiti unababaisha sana
Umeona eeeh!?
Yaani kachapia balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂 heshima yako mkuu...Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
Kazaramo kako kangekuwepo kangefurahi balaa [emoji16][emoji16][emoji16]