Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447807777_128085.jpeg
 
Tatizo ni kuongea mbali na simu hii kitu mimi siwezi kuvumilia nijue tu ukweli kina zungumzwa kitu gani [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata ikiongelewa kwa sauti kali mkiwa mnaangalia TV ?!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sio kwamba sipendi ila sitaki aongelee mbali, labda nimruhusu mwenyewe baada ya kujiridhisha kutokana na vicheko vyake vya kiumbea na kusutana...
Siwezi kuichunguza simu ya wife. Ninacho fanya huwa ni ukaguzi wa kushitukiza, kuna wenzie wa huko mashuleni hawakati tamaa kutongoza, zaidi ya miaka 15 anatongoza tu. Nikiikuta namsaidia kumjibia halafu namwambia SMS ya fulani nimekusaidia kuijibu. Baasiii.
 
Ndiyo ndugu yangu u FBI muhimu kiasi chake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni zao la mifumo ile ile ya elimu, kijamii, kisiasa na mingineyo. Ndo maana hata wakija wapya mambo ni yale yale. Karibu bara zima liko pale pale linapiga makitaimu ya kufa mtu japo tunabadili viongozi kila kukicha. Maneno matamu na kujipiga kifua sana wakiwa nje lakini wakiingia ulingoni mambo ni yale yale...wanaishia kufumwa mumo kwa mumo na utando sugu wa mifumo kengeufu tuliyoachiwa...
Tutafanyaje ili kujinasua na utumwa huu ? Ila nisikuchoshe, nimelisoma bandiko lako ulilo mnukuu mzee Ngugi. Waafrika tumekwama pakubwa
 
Hata ikiongelewa kwa sauti kali mkiwa mnaangalia TV ?!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sio kwamba sipendi ila sitaki aongelee mbali, labda nimruhusu mwenyewe baada ya kujiridhisha kutokana na vicheko vyake vya kiumbea na kusutana...
Siwezi kuichunguza simu ya wife. Ninacho fanya huwa ni ukaguzi wa kushitukiza, kuna wenzie wa huko mashuleni hawakati tamaa kutongoza, zaidi ya miaka 15 anatongoza tu. Nikiikuta namsaidia kumjibia halafu namwambia SMS ya fulani nimekusaidia kuijibu. Baasiii.
Aisee nimecheka hapo "Namwambia sms ya fulani nimemsaidia kujibu" 😀😀😀
 
Moudgulf na Mzee wa liver. Punguzeni picha za majoka. Wenye phobia za ukweli wanateseka mpaka wanatishia kuhama uzi jamani uwii mane lavusi mi indeed wallahi !!!. Afadhali muweke picha za mende na tandu tutavumilia [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila niabu kwa uzee wetu huu kuogopa tandu na mende
 
Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo ki Kibibi kwwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
Mmmh anko mbona unaniuwa je kama nilikuwepo duniani[emoji23][emoji23][emoji125]
 
Back
Top Bottom