Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau na 14october ya Mzee.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje Ankoo ? Ni imani yangu siku yako inaenda vizuri
Jamaniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku inaisha salama kikubwa uhai tu. Za huko mwakaleli anko?
 
Hata ikiongelewa kwa sauti kali mkiwa mnaangalia TV ?!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sio kwamba sipendi ila sitaki aongelee mbali, labda nimruhusu mwenyewe baada ya kujiridhisha kutokana na vicheko vyake vya kiumbea na kusutana...
Siwezi kuichunguza simu ya wife. Ninacho fanya huwa ni ukaguzi wa kushitukiza, kuna wenzie wa huko mashuleni hawakati tamaa kutongoza, zaidi ya miaka 15 anatongoza tu. Nikiikuta namsaidia kumjibia halafu namwambia SMS ya fulani nimekusaidia kuijibu. Baasiii.
🤣🤣🤣 eti hakati tamaa..
Hivi huwa ni nini?
Mpaka nafikiri huwa mnaweka bucket list kwamba kabla sijafa lazma nimkukule Naniliu.. Yaani persistence ya miaka jamaniii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku inaisha salama kikubwa uhai tu. Za huko mwakaleli anko?
Mungu ni mwema ankoo,maisha tu...
tapatalk_1560063504425.jpeg
 
Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.

Umenitoa huko nilikokuwa nimejificha, ila nakwambia hivi; hiyo 1982 nilikuwa Cambridge huko, UK ( Siyo Ukerewe)! Nilikuwa nakula book la PhD! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Back
Top Bottom