Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingekuwa uhai unapangwa na mwanaume, haki ya nani tungekuwa tumefungua saving account za wanawake wa kuoa. Yaani unaoa Jesca, baada ya miaka 2 anakufa unaoa Mwajuma ndala ndefu, baadae Prisca,.... Hadi account inaisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mdada nilianza kumtongoza nipo darasa la 5 yeye la 7,alivyo maliza tu akaolewa ila mimi sikukata tamaa kuandika vibarua vya mapenzi, Mungu jeuri, nikafaulu nikapangiwa shule ya mbali. Tangu 1990 ndo nimekuja kuonana nae 2017,ana watoto 9,nikamkumbushia ombi langu kiutani (ningekuwa na tamaa) wala hakubisha.Kibaya zaidi mume kaja naye kuniona msibani, nikajisemea tu "wanaume ndio chanzo cha haya yote".
Hahaha...umetia chumvi bwana watoto 9?
 
61780492_142813070165504_5634259470688527052_n.jpg
 
Umenitoa huko nilikokuwa nimejificha, ila nakwambia hivi; hiyo 1982 nilikuwa Cambridge huko, UK ( Siyo Ukerewe)! Nilikuwa nakula book la PhD! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niliona majuzi ule mwaliko wa graduu, hongera sana ndugu yangu. Tumekaa wote tuition za Mtendeni na Mnazi mmoja pr/sc usinisahau ukianzisha kakibanda ka kuchomelea vibatari vya kuvulia samaki
 
Back
Top Bottom