Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niliona majuzi ule mwaliko wa graduu, hongera sana ndugu yangu. Tumekaa wote tuition za Mtendeni na Mnazi mmoja pr/sc usinisahau ukianzisha kakibanda ka kuchomelea vibatari vya kuvulia samaki

Ile ilikuwa ya Mwananzengo bana. Mvuvi na hayo mambo wapi na wapi bana! Hivi Mtendeni ulikuwa unafuata tuition kweli au ulikuwa unakwenda kumvizia Mwanaidi tu pale! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah mgumu bana soma alama za nyakati jamaa anashukuru,ushahidi chogo ya bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila wewe Mimi niliiona kwenye whatsapp group lakini sikuelewa chochote kile, Aisee upo vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira ushawekwa kwapani siyo? [emoji23][emoji23]
Aah unauliza vibaragara mashulen hasa primary
60481368_143178693414901_3421600889602174983_n.jpg
 
Back
Top Bottom