Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Majukumu yanaenda vizuri namshukuru Mungu.

That's a true story aisee, ila huyo mtoto mwenye wiki moja ndiye Bradha .
Una maanisha hiyo stori ni baba Bradha yalimkuta muda mfupi tu baada ya kukuzaa au humu unatumia jina la kijana wako?
Maisha yetu yamejaa vituko vingi sana,hasa kwa sisi wengine wenye maisha ya mjini na kijijini. Yaani ukienda kijijini hakuna kuvaa nguo nzuri wala viatu,tena kwa amri ya mbabe mmoja tu.
 
Ndivyo hivyo tulivyoumbwa. Mpaka tunaingia kaburini...

Halafu we nakuhisigi sana tu...wezere la kufa mtu indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mimi mofoloji nilio mjengea huyo binti hadi Mungu ananihurumia. Mwandiko wake tu linaonekana litoto lizuri kweli kweli... Ila ndio hivyo, amekuwa mali ya mtu nami nimekuwa mali ya mtu, vinginevyo, mtaji wa maparachichi ningeuua wote tena bila kujutia... Maisha nini bana, kama kufa kupo basi...
 
Yalimkuta baba Bradha .
Nilihadithiwa tuu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi nikifunguka hapa mofolojia yake niliyonayo kwenye likichwa langu hili la hovyo itakuwa patashika mbona? Ngoja tu niache...Litoto lizuri jeupe toli toli, wezere tinginya, ngozi laiiini, uso wa kitoto, lipole lipole hivi, licheshi, guu guu, mwili taiti wa kimazoezi, tumbo flati, vidimpozi na kimwanya cha kishikaji, kiuno cha nyigu, macho mkonyezo...na mapene ya kumwaga......dah !!!

Halafu lina ukweni tayari [emoji36][emoji36][emoji36]...wakora waitu umpe maela gange bojo.......

Baadaye wakuu na samahani kama nimemkwaza mtu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Uzi wetu huu ni shida....
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Dah! Mna visa nyie.. Imajinesheni zenu zinawapeleka pabaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…