myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima..
Salama kabisa mkuu,, kwako jeSalama mkuu?
Jioni iwe njema kwako.
Ok,nmeangalia vizuri bro,aliyeweka 82 ni ankoo!Mimi sikuweka mwaka ila ni mwishoni mwa miaka ya 80+.
Ndivyo hivyo tulivyoumbwa. Mpaka tunaingia kaburini...Unakuta mko mnaendesha foleni ya ajabu halafu mtu mbele anasimama ghafla gari zote nyuma yake zinascreech...
Kisa anampisha dada avuke ili amuangalie!
Ai emu liseningi keafule bro. Shusha nondo za huko Tanga bro...[emoji23][emoji23][emoji23] hamkulishitukia hilo fyekero bro??Tanga sio mchezo mchezo bro,hadi maji ya kuoga yamewekwa viungo utadhan pilau[emoji2][emoji2]
Bradha...izi zati yu?Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).
Wale wezi walijuta kuja kwangu.
Unapaka Vaseline[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ukijiloweka kwenye Omo,ukitoka lazima uwe umepauka balaa
Bro, salama?Bradha...izi zati yu?
Ha ha ha bro!!Ai emu liseningi keafule bro. Shusha nondo za huko Tanga bro...
Ha ha haUnapaka Vaseline
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,kwamba nguo zilifuliwa hakuna kutoka hadi zikauke[emoji23][emoji23]
Noted...Majukumu yanaenda vizuri namshukuru Mungu.
That's a true story aisee, ila huyo mtoto mwenye wiki moja ndiye Bradha .
Hongera sana. Mungu Akuzidishie miaka mingi mingine na zaidi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Bro, salama?
Huyo mtoto wa wiki moja ndiye mimi sasa [emoji2] [emoji2]
Kwema bro na heshima zikurudie maradufu. Nilikuwa sijui. Kumbe ulikuwa umekwama Tanga?Ha ha ha bro!!
Heshima yako bro!