Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hi Bra.. Leo jumanne ujue!Hi sis, i hope you had a good wkend there.
Hi Bra.. Leo jumanne ujue!Hi sis, i hope you had a good wkend there.
Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
Kwema, ni vile tulikukosa tu hapa!Ngoja niitikie tu,maana tumeambiwa tusalimiane kwa salamu hii angalau mara 20 kwa siku...
Alyekum salam,,,kwema Fraggy
#Japosiomateka[emoji2][emoji2]
Ndio, ila sentensi yangu bado ipo sahihi.Hi Bra.. Leo jumanne ujue!
Salama bro, sijui wewe, khaifa khaluqa?.Mambo vp bro??
Embu dadavua basi!Ndio, ila sentensi yangu bado ipo sahihi.
Feedback bro, naona hatimaye nguo zimekauka 😃 😃 😃 .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
Mmh! enzi za stova hizo.. unazijua wewe?Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).
Wale wezi walijuta kuja kwangu.
I hope ni kwema huko?Embu dadavua basi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,kwamba nguo zilifuliwa hakuna kutoka hadi zikauke[emoji23][emoji23]Feedback bro, naona hatimaye nguo zimekauka [emoji2] [emoji2] [emoji2] .
Nazijua, sisi tuliziita stovu.Mmh! enzi za stova hizo.. unazijua wewe?
Kwetu tunashukuru MunguI hope ni kwema huko?
Siku inaenda vizuri bro,hope huko pia mnaendelea vizuri!!Salama bro, sijui wewe, khaifa khaluqa?.
Siku inaendaje?
Shikamoo BradhaNazijua, sisi tuliziita stovu.
Ndio, baada ya kulowekwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana,kwamba nguo zilifuliwa hakuna kutoka hadi zikauke[emoji23][emoji23]
Nipo sis,,naendelea vyema kabsa!Kwema, ni vile tulikukosa tu hapa!
Umeonaaa eeh.. ametoka kujiloweka kwenye Omo marashi yaisheNdio, baada ya kulowekwa.
Halafu usikute ile ID iliyokua inaomba msaada wa kuondoa harufu ya marashi ya Tanga ni yako😃😃😃.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).
Wale wezi walijuta kuja kwangu.