Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

449011132_478503.jpeg
 
Misambwanda aisee ina mvuto wa ajabu. Utafikiri tumerogelezewa. Tena ukute ni ule mdebwedo hasa unameng'enyuka barabarani aisee hata kwenye mtaro unaweza tumbukia. Hovyo kabisa !!!
Unakuta mko mnaendesha foleni ya ajabu halafu mtu mbele anasimama ghafla gari zote nyuma yake zinascreech...
Kisa anampisha dada avuke ili amuangalie!
 
Yegomasika, Bradha, Davet, ningendako, Numbisa, capitalpool, Fragaria, jakitoo, ledada na wenzenu woote humu nasema hivi disko ya mwaka 1982 (wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa) ya Krisimasi ikiwa ni hepibesidei yangu, Mjomba angu (Rip) alikuwa ndio wa kwanza kumiliki redio kama hiyo kijijini kwetu na ilitumika kuburudisha wanakijiji wote siku hiyo.
Mimi ndiye nilikuwa mtunza kaseti na betri mpya kwa ajili ya kubadilishia.
Aisee,ni kweli kabsa ankoo,mwaka huo hata sikuwa nafikiliwa..

Heshima yako ankoo!kwema nyumbani?
 
Hapa tunahitaji Feedback ya ningendako kuhusu Biashara ya hijab
Itakua inaenda vizuri maana jana hapa kaniambia yupo Tanga anaoshwa huku kakalishwa kwenye kigoda

Cc ningendako
Ebhana eeehe kumbe amefikia hatua mpaka ya kufunga Safari ndefu ya maili nyingi kweli ukufunzi kama pep Guardiola [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
Back
Top Bottom