Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rushwa ilikuwepo, bado ipo.
Ukiwa mpole watautumia upole wako kupiga, ukiwa mkali, pia watapiga kutumia ukali wako.
Bahati mbaya sana wakati ule kila aliyelalamika alionekana mwizi, mkwepa kodi, mpigaji ambaye amekatiwa mirija yake ya uhalifu
Tunaihitaji mamlaka zenye nguvu kikatiba ili kukabiliana na aina hii ya watendaji.
 

Mamlaka zenye nguvu zitatoka wapi kama mfumo mzima ni huu huu? Watendaji waadilifu utawatoa wapi wakati jamii yote imeoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…