Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naisi tu bi alaivu wuhuuu !!!
ae986e93-a7db-4d4f-9b0a-b41289dfc9e5~2.jpeg
 
Tunalazimika kushughulikiana kikatiba. Katiba lazima iseme nano baya linalohusu hukumu ya aina furani ya uhalifu.
Sasa katiba inasemaje kamanda kuhusu adhabu za makosa haya? Si tuna limahakama kabisa maalum kwa ajili ya mafisadi haya? Mbona hatuoni washtakiwa wakirundikana huko na kuhukumiwa kama sheria zinavyosema?

Tatizo letu lina kina kirefu sana na itachukua vizazi kadhaa kubadilisha mtazamo wa jamii na mifumo yake. Ndiyo maana mimi huwaga sina presha na hizi siasa zetu uchwara kwa sababu naamini kuwa hata angekuja nani, bila kuchimbua kabisa mzizi wenyewe wa tatizo letu, zitakuwa ni mbwembwe zile zile tu; na ufisadi utabakia pale pale.

Hata huko walikofanikiwa angalau kuachana na huu ufisadi wa kihayawani kama huu wetu (wa kuiba wazi wazi wakati wananchi wenzio hawana hata uwezo wa kununua aspirini moja) ilikuwa ni process ndefu...
 
Back
Top Bottom