Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 

Maendeleo ni mazuri mno [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Kama unavyoona, niko tayari kutetea heshima ya ukoo liwalo na liwe....

Huo mfano wako wa "limdada na kitenge kimoja linakwenda kwa mangi kununua mkate" umenirudisha pale mtaani kwetu Njinjo. Kulikuwa na lijimama limoja pale la Kimanyema linaitwa Mama Fide lilikuwa funga kazi. Utafikiri ni yale ya kuchorwa na Marehemu Ndunguru kwenye gazeti la Sani. Lilikuwa limenizoea sana na ilikuwa kawaida asubuhi kwenda kulitegeshea ili tu kulifaudu likimeng'enyuka kwenda pale Bulyaga kununua supu. Nilikuwa nasingizia eti nakwenda kuangalia mazoezi kwenye kakiwanja kale ka mpira pembeni akina Edward Chumila na wenzake wakifanya mazoezi. Haya mambo ni magumu sana shemeji [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…