Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1560326199619.jpeg
 
Hahah! Zingatia kwanza kula bro hayo madude yanachanganya sana akili

Kwani upo kanda yetu tayari au huko huko Ziwani?
Ilibidi nifokasi sana japo nimeishia kujidondoshea vimchuzi kwenye shati tena jeupe. Hovyo kabisa bro...Moja nimeishia kulifahamu jina. Linaitwa Rose...

Nipo Koromije bro...kitambo sana mbona?
 
Back
Top Bottom