AsanteWasafiri poleni, mfike salama
Kuna sredi niliona wakati wa Idd nadhani jamaa mmoja aliweka na watu walimshukuru sana. Kweli hapa sijaona shukrani japo vocha zimeshatumika...but again tenda wema uende zako [emoji16][emoji16][emoji16]Waliopokea hizo vocha walishukuru au walipiga kimya?maana sijaona feedback.
Ilibidi nifokasi sana japo nimeishia kujidondoshea vimchuzi kwenye shati tena jeupe. Hovyo kabisa bro...Moja nimeishia kulifahamu jina. Linaitwa Rose...Hahah! Zingatia kwanza kula bro hayo madude yanachanganya sana akili
Kwani upo kanda yetu tayari au huko huko Ziwani?