Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vingunguti kwema sana, uhai upo na uzima hatulalamiki, nashukuru kwa maombi ndugu yangu, Mungu awalinde sana, Temeki wailesi naielewa mitaa hiyo story zenu muhimu zina mengi ndani yake
[emoji120][emoji120][emoji120]tuzidi kumtegemea kwa kila jambo.
Najua nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi anasa na uzinifu wa vidoleni, wanisamehe tu.
Hiki ndo kijiwe changu pekee hapa duniani mbali na mke na watoto wangu. Wazichukulie kama takataka zingine na kuzi[emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…