Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji736][emoji736][emoji736]
🤣🤣🤣 yako wapi?Mapicha picha
Kiliwe wakati yeye hajala?Kuna majaamaa yananyang'anya hadi vitu vidogo alivyomnunulia Demu wakiachana...
Zipo hizo taipu! Chake hakiliwi tu!
Khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooooEddy Chumila si ndio aliye kufisadi ?
Mungu aendelee kukutendea yaliyo mema zaidi na zaidi.
Kuna wadada watatu wa Kimanyema nilipanga kwenye nyumba yao ile karibu na limti likubwa, jamaniiii !!! Vyupi vyao vya chandarua na kanga kavu lainiii wanakaa uani muda wote wakiwa nyumbani. ... Shwaini zake Osward (alikuwa idara ya Maji) aliniua mapema, jamaa yangu alikuwa anafundisha Jitegemee secondary akanishauri tuhame kuepuka makuu zaidi maana hata mama yao mzazi ilikuwa timu moja.
Hukumu niiogopayo kwa Mungu ni ya kutamani na kuto yatenda matamanio yangu. Mimi ni wa kusifia tu ila kwenye matendo ndio vilee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
#nimeikumbukanjinjo#
#hofuyangunikwaningendakohiyomitaayasudani#
Colombia nao bana. Si wangemkubalia tu?
View attachment 1125416
Salama mkuu...kwako je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kama vile nawafahamu hao Wamanyema. Kabila hilo kwa misambwanda aisee ni hatari. Kuna wengine walikuwa pale karibu kabisa na Bulyaga nao walikuwa moto wa kuotea mbali kuanzia akina mama na mabinti zao. Ilikuwa ukizubaa wanakupiga boom lote aisee...Bahati mbaya gridi ya taifa ilipopita wee wengi waliteketea mbaya...
#Kutamaninakutendaniyaleyale
#ningendakoanahitajimaombi
#Tutaokolewakwaneema
Bradha acha kula kucha ni tabia mbaya ujue[emoji23][emoji23]Ndio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Unazungumzia muda tunaopoteza hapa kwenye likes ama?
Jfwood