Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-06-13 Instagram(3).png
 
I guess kwenye hii chat,mwanamke ni wa upande wa kulia(blue)

Waliopo kwenye ndoa wanadai hali huwa mbaya zaidi hasa pale mama anapojifungua mtt,mume huwa hana chake tena,muda mwingi anakuwa busy na kichanga,afue nguo,mcheki mtt,ambadirishie nguo kama kazikojolea n.k

Kwa walio kwenye ndoa wanadai kuwa,kama mwanamume kuna kipindi kigumu huwa anapitia bhasi ni hapa familia inapobarikiwa mtoto,wanadai kuwa hapa ndio kuna kuibuka kwa tamaa za kimwili za mwanaume kutoka!!

Kama nitakuwa nmekosea wahenga wa hapa watanisahihisha andjul Shimba
 
Tuwasubiri wahenga!
 
Back
Top Bottom