Kwema broSalama bro, kwema huko?
AmeenMungu atupe afya na uzima
Ameen 🙏🙏[emoji120][emoji120]View attachment 1127034
Umeona eeh.At least bro umekua muelewa.Haujanijudge kama hawa wananzengo wengine.Hii ndiyo maneno sasa bro...Kumbe wala hung'ong'agi kucha zako wananzengo walikuwa wanakusingizia tu [emoji16][emoji16][emoji16]