Andaeitini huyo. Usisikilize utetezi wake [emoji16][emoji16]Nilidhani nawe ni andaeitini[emoji41][emoji41]
Lucifer Orijino?
Hii ndiyo maneno sasa bro...Kumbe wala hung'ong'agi kucha zako wananzengo walikuwa wanakusingizia tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kauliwa wakati baba yao keshakufa muda mrefu na dogo keshachukua nchi. Nam tayari alikuwa uhamishoni na alikuwa hatakiwi kukanyaga Korea Kaskazini...Mambo ya familia...Inawezekana alishtukiwa japokua niliwahi kusoma kwamba jamaa alimuua kwasababu aliona dalili za baba yao kumpatia nchi Nam.
Bro yupi hajalala?[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona unatokea mida muafaka tu mara ufume kidole cha Bradha , mara ufume bro analia hajalala na leo umetokea kwenye mazungumzo mazito
Bro weweBro yupi hajalala?
Niliyemsikia na kumuelewa ni tofauti na huyu lakini hata hivyo hili ni sehemu ya somo kutoka kwake. Kwa mfano, sasa anatufundisha kwamba kumbe ‘uprofesa’ bado ni jalala tu. Tulioishia darasa la saba tulidhani kwamba hii ni ngazi ya juu zaidi katika elimu. Kumbe hapana. [emoji23][emoji23][emoji23]