BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Unabaki kumtazama tu Profesa Kabudi na kisha kutabasamu 😂😂. Namkubali. Ni moja ya vichwa vinavyofanya kazi sana. Niliishia darasa la saba kwa hiyo awali sikupata nafasi ya kufundishwa naye, lakini waliowahi kufundishwa naye wanasema jamaa ni ‘kichwa sana’.