myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Thanks..Kwa hiyo sisi watanzania tunakula mapipi tu!????
Poleni wasafiri wote, mfike salama
Poleni wakulima wote...
Wafanyakazi poleni sana, Wiki endi inanukia
Mungu awaponye wagonjwa wote
Chattle city...Burigi Mambo ni moto, kanda ya Ziwa inaanza kuchanua kwenye tasnia nzima ya utalii.
Tanzania iliyojaaliwaView attachment 1127295
Wenye matatizo Mungu awaondolee...
Amani na upendo wetu uendeleee..
Kweli tupuuu !!!Thanks..