Shiva N'zigou wa Gabon ndio mchezaji wa umri mdogo zaidi kushiriki na kufunga katika michuano hiyo. Alikuwa na umri wa miaka 16 na siku 93 wakati aliposhiriki katika michuano ya Afcon ya 2000 akifunga katika kichapo cha 1-3 dhidi ya Afrika Kusini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.