Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je masharti ni yapi ya kuchangia damu?
Watu wasiokula nyama hawapaswi kuchangia damu
Kumekuwa na imani potofu kuhusu utoaji damu na kumefanywa utafiti kulibaini hili ikiwemo fikra kuhusu watu wasiokula nyama kuwa hawawezi kutoa damu.
Wasiwasi unatokana na kiwango cha madini ya iron - kiini kikuu cha damu mwilini - na wasiwasi kwamba wasiokula nyama hawapati madini haya ya kutosha
 
Kama una michoro ya tattoo au umetobolewa mwili, sio marufuku
Unaweza kuchangia au kutoa damu hata kama una michoro ya tatoo au umetobolewa mwilini, tofauti na baadhi ya watu wanavyoamini.
Hatahivyo kuna sheria: N lazima usubiri kwa miezi minne kutoka siku uliochorwa tatoo au kutobolewa mwilini kabla ya kuweza kutoa damu.
 
Usihofu hakuna kiwango cha mwisho cha damu mwilini
Mtu mzima yoyote ana kiasi cha painti 10 za damu mwilini.
Unapotoa mchango wa damu huwa unatumia kama painti moja, na mwili hufanya kazi kurudisha seli na maji uliopoteza mwilini. Damu uliochangisha kwa kawaida inarudi mwilini baada ya siku moja.
 
Kama ni mgonjwa, huenda unahitaji kusubiri muda zaidi
Kwa kawaida mtu anastahili kupoa kikamilifu baada ya maambukizi ya aina yoyote angalau siku 14 kabla ya kutoa damu - na iwapo umekuwa ukinywa dawa za antibiotic inabidi usubiri siku 7 baada ya kumaliza kunywa dawa ndipo uweze kuchangia dawa.
 
 
Baada ya mawigi kupanda bei [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20190614-WA0005.jpeg
 
Back
Top Bottom