Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madagascar, Burundi na Mauritania zitakuwa zikishiriki kwa mara ya kwanza katika dimba hilo la 2019. Timu 12 hazajiwahi kufuzu katika kinyang'anyiro hicho , ikiwemo Jamhuri ya Afrika ya kati CAR, Chad Comoros, Djibouti, Eritrea, Eswatini, Gambia, Lesotho, São Tomé and Príncipe, Seychelles, Somalia na Sudan Kusini.
 
Suala siyo kuamka mapema. Suala ni unaamka kufanya nini. Unaweza kuamka saa 10 usiku ili kula likes [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1127307

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…