Ndugu zangu habari za kazi! Naitwa Evaline jonathan kizwili, Naishi Tegeta Dar Es salaam ni mama mjane Mume wangu aliniacha na watoto watatu, Ndugu wana zangu ilikuwa Jumapili iliyopita tar 9/6/2019.Mwanangu alitoka kanisani ibada ya watoto,Alipofika nyumbani aliyakuta maharage jikoni wakati...