Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Carlos Tevez na Javier Mascherano walikwenda kucheza West Ham pia, wakati Paulinho alitoka Guangzhou Evergrande kwenda kucheza Barcelona, Nicklas Bendtner alitoka Arsenal kwenda Juventus, Bebe alitoka Vitoria de Guimaraes akaenda Manchester United, Edgar Davids alienda kuichezea Barnet na Juninho alitoka Atletico Madrid alienda kucheza Middlesbrough.
 
Man United imesema staa wao huyo anauzwa kwa Pauni 150 milioni na hawataki kujadili kwamba hakucheza kwa kiwango kikubwa msimu uliopita na kwa miaka mitatu tangu walipomnasa kwa ada iliyoweka rekodi ya dunia wakati huo, Pauni 89 milioni kutoka Juventus.
 
Mkataba wa Pogba huko Old Trafford utafika tamati 2021 huku kuna makubaliano ya kuongeza mwaka mmoja, hivyo bado kuna nafasi ya kuendelea kuwa na thamani kubwa hivyo kutokana na mkataba wake bado kuwa mrefu.
 
Jambo hilo ndilo linalowafanya Man United kuweka ngumu wakiilazimisha Real Madrid kukubali masharti yao kama kweli wanahitaji huduma ya kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
 
Mabingwa wa Italia, Juventus nao wanahitaji saini ya mchezaji huyo, lakini Man United yenyewe imeshaweka wazi bei yake, Pauni 150 milioni ndio watakaa mezani kuanza mazungumzo.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…